Resumen del episodio
Ushairi Jukwaani ni uwasilishaji wa mashairi mbele ya hadhira kwa njia ya sauti, vitendo, na hisia ili kufikisha ujumbe kwa nguvu na mvuto zaidi, Tofauti na ushairi wa kusoma vitabuni, ushairi huu huishi kupitia mtumbuizaji na huchanganya sanaa ya maneno na maigizo.

Episodios
Sanaa ya ushairi na Suleiman Nambwangula
EscuchadoUshairi Jukwaani ni uwasilishaji wa mashairi mbele ya hadhira kwa njia ya sauti, vitendo, na hisia ili kufikisha ujumbe kwa nguvu na mvuto zaidi, Tofauti na ushairi wa kusoma vitabuni, ushairi huu huishi kupitia mtumbuizaji na huchanganya sanaa ya maneno na maigizo.
Sanaa ya uchoraji jijini Dar es salaam naye Nasima yasin Abubakari
EscuchadoUkosefu wa Vifaa vya Uchoraji umechangia Sanaa hiyo kudumaa, sasa wachoraji wanalazimika kuagiza kutoka nchi za nje, Kaguta atafuta ufumbuzi.
Tanzania: Tamasha la marafiki festival mwaka wa 2026
EscuchadoWikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.
Tanzania: Tunaliangazia kundi la Lumumba Theatre
EscuchadoLumumba Theatre ni Kundi la Muziki wa Asili linalochanganya Midundo ya kisasa na ya zamani ili kupata Ladha Mpya, Tunaangazia kundi hilo katika makala ya n yumba ya Sanaa Juma hili.
Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly
EscuchadoPaul Mejooly alianza kutunga Mashairi akiwa Shuleni sasa ni Biashara inayomuingizia kipato, Tumezungumza naye kwenye Makala ya Nyumba ya sanaa.